Maonesho ya 10 ya Sayansi na Teknolojia ya Kimataifa yafunguliwa Mianyang

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2022
Maonesho ya 10 ya Sayansi na Teknolojia ya Kimataifa yafunguliwa Mianyang
Tarehe 16, Novemba, mtoto akicheza na roboti ya mbwa ya akili bandia kwenye Maonesho ya 10 ya Sayansi na Teknolojia ya Kimataifa yanayofanyika kwenye Mji wa Teknolojia ya China (Mianyang).

Siku hiyo, Maonesho ya 10 ya Sayansi na Teknolojia ya Kimataifa yalifunguliwa katika Mji wa Teknolojia ya China (Mianyang), Mkoa wa Sichuan. Habari zinasema kuwa, kaulimbiu ya maonesho hayo ni “kuongozwa na teknolojia, kufanya uvumbuzi na ujasiriamali, kushirikiana na kunufaishana”, makampuni na mashirika zaidi ya 600 zilishiriki kwenye maonesho hayo kwa njia ya video na kwenye ukumbi,matokeo mapya ya uvumbuzi wa teknolojia ya hali ya juu yakionekana kwenye maonesho hayo. (Mpiga picha: Tang Wenhao/Shirika la Habari la China, Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha