Kujenga mfumo wa njia za watembea kwa miguu ili kuongeza hisia za furaha walizonazo wakazi mjini (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 22, 2022
Kujenga mfumo wa njia za watembea kwa miguu ili kuongeza hisia za furaha walizonazo wakazi mjini
Hii ni njia ya watembea kwa miguu inayoitwa njia ya upinde wa mvua katika bustani ya Jiaoye ya Fushan huko Fuzhou. (Picha ilipigwa na droni Novemba 17)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Fuzhou wa Mkoa wa Fujian umejenga mfumo wa njia za watembea kwa miguu mjini, kupanua maeneo ya miti na majani, kuwawezesha watu wanaweza kuangalia mandhari ya kijani mara wakifungua madirisha na milango na kuongeza hisia za furaha ya maisha yao. Hadi sasa, Mji wa Fuzhou umejenga njia za watembea kwa miguu karibu kilomita 700.

(Mpiga picha: Wei Peiquan/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha