Eneo la Chaoyang, Beijing laanza kutoa udungaji wa chanjo ya kuvutwa dhidi ya Korona (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 23, 2022
Eneo la Chaoyang, Beijing laanza kutoa udungaji wa chanjo ya kuvutwa dhidi ya Korona
Tarehe 22, Novemba, daktari akisaidia mkazi mmoja kuvuta chanjo dhidi ya UVIKO-19 kwenye kituo cha huduma ya afya cha makazi ya pili ya Jianwai ya Eneo la Chaoyang la Beijing, China.

Hivi majuzi, Eneo la Chaoyang la Beijing lilianza kutoa udungaji wa chanjo ya kuvutwa dhidi ya Korona katika kituo hicho cha huduma ya afya, ambayo ni kwa chanjo ya nyongeza tu, wale wanaotaka kuchanjwa wanaweza kuagiza kwa simu. (Picha inatoka Chinanews)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha