Mtambo wa kuzalisha Umeme kwa Upepo baharini wenye uwezo wa Megawati 16 wamaliza kuundwa (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2022
Mtambo wa kuzalisha Umeme kwa Upepo baharini wenye uwezo wa Megawati 16 wamaliza kuundwa
Picha hii iliyopigwa tarehe 23, Novemba ikionesha mtambo wa kuzalisha umeme kwa upepo baharini wenye uwezo wa Megawati 16 uliomaliza kuundwa kwenye Eneo Maalumu la Viwanda la Kimataifa la Sanxia la Uzalishaji Umeme Baharini kwa Upepo huko Fujian, China. (Picha imepigwa na Li Shanchuan/Xinhua)

Hivi karibuni, mtambo wa kuzalisha umeme baharini kwa upepo wenye uwezo wa Megawati 16, ambao umeundwa kwa pamoja na Shirika la Sanxia na Kampuni ya teknolojia ya Goldwind, umemaliza kuundwa kwenye Eneo Maalumu la Viwanda la Kimataifa la Sanxia la Uzalishaji wa Umeme Baharini kwa Upepo huko Fujian, China.

Habari zimesema, kutokana na thamani ya muundo wa uzalishaji wa wastani wa umeme wa miaka mingi, mtambo huo utaweza kuokoa matumizi ya makaa tani 22,000 hivi, na kupunguza utoaji wa kaboni tani 54,000 hivi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha