Kukarabati waya za umeme ili kuhakikisha utoaji wa umeme wakati wa majira ya baridi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2022
Kukarabati waya za umeme ili kuhakikisha utoaji wa umeme wakati wa majira ya baridi

Tarehe 23, Novemba, Mwaka 2022, wafanyakazi wakifanya kazi ya ukarabati wa waya za umeme wa volteji ya juu kutoka Xuyu hadi Taizhou mkoani Jiangsu kwenye sehemu ya juu. Ili kuhakikisha usalama wa kupita salama kwa magari baada ya ujenzi wa barabara ya mwendo kasi ya Fuxingtai kumalizika, ukarabati huu utaongeza umbali wa upitishaji salama wa waya za umeme wa volteji ya juu kutoka ardhini hadi mita 30 kutoka mita 19. Wakati huo huo, utaongeza zaidi hali ya kutegemeka ya mtandao wa umeme ili kuhakikisha utoaji wa umeme salama wakati wa majira ya baridi. (Mpiga picha: Shi Jun/Tovuti ya Picha ya Umma)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha