Picha: Kituo cha kutengeneza vileta baraka vya Kombe la Dunia Qatar La’eeb

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 29, 2022
Picha: Kituo cha kutengeneza vileta baraka vya Kombe la Dunia Qatar La’eeb
Wafanyakazi wakishona maskoti La’eeb kwa mikono kwenye karakana ya Mji Mdogo wa Chashan wa Mji wa Dongguan, Mkoa wa Guangdong wa China, tarehe 26, Novemba.

Ikiwa moja ya watoaji bidhaa wa Kamati ya Kombe la Dunia Qatar 2022, kampuni ya utamaduni ya Cheche kutoka Dongguan inawajibika kuvumbua kwa mara ya pili maskoti “La’eeb”, na pia kubuni na kutengeneza bidhaa mbalimbali za kumbukumbu. (Picha zilipigwa na Chen Chuhong/ChinaNews)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha