

Lugha Nyingine
Roketi ya Yao B ya Kuaizhou No.11 yafaulu kurushwa (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 07, 2022
![]() |
Saa 3:15 asubuhi ya tarehe 7, Desemba Roketi ya Yao B ya Kuaizhou No.11 ilirushwa kwa mafanikio kutoka kituo cha kurusha satelaiti ya Jiuquan, ikipeleka Satelaiti ya Majaribio ya Usafirishaji ya VDES kuingia vizuri kwenye obiti iliyopangiwa katika anga ya juu, na kazi hii ya kurusha satelaiti imepata mafanikio mazuri. (Picha na Wang Jiangbo/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma