Meli za kuvua samaki zaanza kufanya kazi baada ya wimbi la baridi Lianyungang, Jiangsu (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 07, 2022
Meli za kuvua samaki zaanza kufanya kazi baada ya wimbi la baridi Lianyungang, Jiangsu

Tarehe 5, Desemba, Mwaka 2022, baada ya wimbi la baridi ya duru hii, meli nyingi zilizoko bandari ya Haitou ya Eneo la Ganyu la Mji wa Lianyungang wa Mkoa wa Jiangsu zilielekea bahari kwa mfululizo na kuanza kazi zao za kwanza za uvuvi katika majira ya baridi ya mwaka huu. (Mpiga picha: Siwei/Tovuti ya Picha ya Umma)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha