“Wafanyakazi wa umeme wakifanya kazi kwenye sehemu ya juu kama spider-man” Wuzhong, Ningxia (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 12, 2022
 “Wafanyakazi wa umeme wakifanya kazi kwenye sehemu ya juu kama spider-man” Wuzhong, Ningxia
Tarehe 8 hadi 9,Desemba, 2022 wafanyakazi wa umeme wakifanya kazi ya kuwezesha mradi wa usafirishaji na ubadilishaji wa umeme 220 kV wa Diannong kupita Reli ya Baotou-Lanzhou kwenye sehemu ya juu katika Mji wa Wuzhong, Mkoa wa Ningxia.

Kwa kufahamishwa, uwekezaji wa jumla wa mradi wa usafirishaji na ubadilishaji wa umeme 220 kV wa Diannong ni Yuan milioni 605, unaoundwa na kituo cha ubadilishaji wa umeme cha Diannong cha Ningxia na nyaya zenye urefu wa kilomita 73.9. Baada ya mradi huo kukamilika , utatoa uhakikisho kwa nguvu usafirishaji wa umeme salama kwa viwanda vipya kwenye Eneo la Maendeleo ya Uchumi na Teknolojia ya Yinchuan. (Mpiga picha: Yuan Hongyan/Tovuti ya Picha ya Umma)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha