Mwanamke wa Chongqing, China asuka “wanyama na mimea” (10)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 12, 2022
Mwanamke wa Chongqing, China asuka “wanyama na mimea”
Picha ikionesha sanaa ya nyuzi za Li Li.

Li Li mwenye umri wa miaka 36 mwaka huu, anapenda sana sanaa ya mikono tangu alipokuwa mtoto, hivyo alijifunza kutoka kwa mama yake kusuka sweta, kofia n.k. Halafu aliendelea kujifunza kazi ngumu zaidi ya usukaji kwa kupitia picha na video mtandaoni. Katika zaidi ya muongo uliopita, alitumia nyuzi za rangi mbalimbali kusuka sanaa za wanyama na mimea za aina mbalimbali, na pia aliziunganisha kuwa sanaa zaidi ya elfu moja za vivutio vya mazingira ya asili.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha