Picha: Shughuli za Kumbukumbu za Miaka 85 ya Mauaji ya Nanjing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 13, 2022
Picha: Shughuli za Kumbukumbu za Miaka 85 ya Mauaji ya Nanjing
Tarehe 13, Desemba, 2022, watu wakifanya shughuli ya kumbukumbu mbele ya mnara wa kuwakumbuka wahanga wa Mauaji ya Nanjing.

Mwaka huu ni mwaka wa 85 tangu Mauaji wa Nanjing yalipotokea, na tarehe 13, Desemba ni siku ya tisa ya kitaifa ya kuwakumbuka watu waliouawa katika Mauaji ya Nanjing. Wakazi wa Mji wa Nanjing, China walifanya shughuli za kuwakumbuka wahanga. (Picha zinatoka VCG.)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha