China yafanikiwa kurusha satelaiti ya Yaogan No.36

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 15, 2022
China yafanikiwa kurusha satelaiti ya Yaogan No.36

Saa 8:25 usiku wa tarehe 15, Desemba China ilifanikiwa kurusha satelaiti ya Yaogan No.36 kwa maroketi C ya Changzheng No.2 kutoka kituo cha kurusha satelaiti ya Xichang. Satelaiti hiyo imeingia vizuri kwenye obiti iliyopangiwa katika anga ya juu na kazi hii ya kurusha satelaiti imepata mafanikio mazuri.

Kazi hii ni mara ya 455 ya kurushwa kwa maroketi ya Changzheng.

(Mpiga picha: Long Yingfei/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha