Uzalishaji na Uuzaji wa Mapambo ya sikukuu ya Mwaka Mpya wafanyika katika hali motomoto Gaomi, Shandong

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 20, 2022
Uzalishaji na Uuzaji wa Mapambo ya sikukuu ya Mwaka Mpya wafanyika katika hali motomoto Gaomi, Shandong

Kadiri sikukuu ya Mwaka Mpya inavyokaribia, ndivyo shughuli za uchapishaji na uuzaji wa bidhaa za mampambo ya sikukuu ya mwaka mpya zinavyoongezeka siku hadi siku katika Kijiji cha mashariki cha Lijia cha Wilaya ya Xiazhuang ya Mji wa Gaomi wa Mkoa wa Shandong, mapambo ya karakasi nyekundu zenye maandiko ya kutakia heri na baraka, na picha za katuni za kukaribisha sikukuu ya mwaka mpya zimevutia wafanyabiashara kutoka kote duniani kuja hapa kuagiza bidhaa kwa bei ya jumla. (Mpiga picha: Li Haitao/Tovuti ya Picha ya Umma)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha