Uwanja mpya wa ndege kwenye uwanda wa juu kufunguliwa Xinjiang (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 21, 2022
Uwanja mpya wa ndege  kwenye uwanda wa juu  kufunguliwa Xinjiang
Wafanyakazi wakijiandaa kwa ajili ya ufunguzi wa usafiri wa anga kwenye uwanja mpya wa ndege kwenye uwanda wa juu katika eneo linalojiendesha la Taxkorgan la Kabila la Watajik, Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang, Kaskazini Magharibi mwa China. (Xinhua/Ding Lei)

URUMQI - Shirika la China Southern Airlines, Tawi la Xinjiang limesema, Uwanja mpya wa ndege kwenye uwanda wa juu utazinduliwa katika Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Kaskazini-Magharibi mwa China siku ya Ijumaa.

Ukiwa katika eneo linalojiendesha la Kabila la Watajik la Taxkorgan, uwanja mpya huo wa ndege utakuwa uwanja wa ndege wa magharibi zaidi nchini China, na ni uwanja wa ndege wa kwanza kwenye uwanda wa juu wa eneo hilo.

Idadi ya abiria na mizigo katika uwanja wa ndege itafikia tani 160,000 na 400 kila mwaka, mtawalia.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha