Nyumba ya Panda Yakaribisha Mwaka Mpya (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 03, 2023
Nyumba ya Panda Yakaribisha Mwaka Mpya
Picha imetolewa na Nyumba ya Panda ya Xining.

Panda wanne wanaoitwa Hexing, Qiguo, Shuangxin, na Yuanman wamekaribisha mwaka mpya wa nne mkoani Qinghai, China, ambapo Nyumba ya Panda ya Xining, Mji Mkuu wa mkoa huo imefanya shughuli za “Kukaribisha mwaka mpya wa sungura kwa kalenda ya kilimo ya China ”, ili kukaribisha mwaka mpya pamoja na watalii.

Habari zinasema, tangu kuafunguliwa kwa Nyumba ya Panda ya Xining , shughuli za kipekee za sikukuu ya mwaka mpya zimependwa sana na wakazi wa mji huo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha