Wanakijiji wa maeneo ya vijijini katika Mkoa wa Shandong, China wapata huduma za afya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 11, 2023
Wanakijiji wa maeneo ya vijijini katika Mkoa wa Shandong, China wapata huduma za afya
Daktari wa kijiji Wang Yuxin akimpima shinikizo la damu mkazi wa Kijiji cha Dagushan, Eneo la Changqing huko Jinan, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Januari 10, 2023. Mkoa wa Shandong nchini China umefanya juhudi zaidi za kuongeza upatikanaji wa huduma za afya na dawa katika maeneo ya vijijini. (Xinhua/Zhu Zheng)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha