Masoko Muhimu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yashuhudia pilika nyingi huko Xi 'an, Kaskazini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 12, 2023
Masoko Muhimu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yashuhudia pilika nyingi huko Xi 'an, Kaskazini Magharibi mwa China
Watu wakinunua vitu kwa ajili ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwenye soko huko Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini-Magharibi mwa China, Januari 10, 2023. Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China inapokaribia, masoko muhimu kwa ajili ya ununuzi wa vitu vya sikukuu hiyo huko Xi'an yamechangamka kwa pilika pilika nyingi za wateja kununua bidhaa. (Xinhua/Zhang Bowen)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha