Maonyesho ya Mwaka Mpya yaongeza shamrashamra kwenye "treni za polepole" za Guizhou (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 13, 2023
Maonyesho ya Mwaka Mpya yaongeza shamrashamra kwenye
Abiria wakitumbuizwa kwa mchezo wa Sanaa kwenye treni Namba 5640 katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China, Januari 10, 2023. (Xinhua/Yang Wenbin)

ZHENYUAN - Jozi ya "treni za polepole" Namba 5640 na Namba 5639 zinatoa huduma za usafiri katika Mkoa wa Guizhou kati ya Wilaya ya Yuping ya Mji wa Tongren na Mji Mkuu wa Guizhou, Guiyang. Treni hizo zinapita vitongoji kadhaa vya eneo la kabila la Wamiao na Wadong la Qiandongnan, na kuunganisha zaidi ya vijiji 100 vya makabila madogo kando ya njia yenye urefu wa kilomita 337.

Ili kuwezesha matayarisho ya wenyeji kwa Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China, maonyesho ya muda yamefanyika hivi karibuni kwenye treni kwa ajili ya abiria kununua bidhaa za kusherehekea. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha