Watu wakijitayarisha kwa Sherehe zijazo za Mwaka Mpya wa Jadi wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 16, 2023
Watu wakijitayarisha kwa Sherehe zijazo za Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Wakazi wakichagua mapambo kwa ajili ya sherehe zijazo za Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwenye maonyesho ya bidhaa Katika Mtaa wa Shanghai wa Mji wa Nanning, Mkoa unaojiendesha wa Guangxi nchini China, Januari 14, 2023. (Xinhua/Zhou Hua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha