Shughuli mbalimbali za barafu na theluji zaongeza utalii wa majira ya baridi katika Mji wa Harbin, Kaskazini Magharibi mwa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 16, 2023
Shughuli mbalimbali za barafu na theluji zaongeza utalii wa majira ya baridi katika Mji wa Harbin, Kaskazini Magharibi mwa China
Picha hii iliyopigwa Januari 3, 2023 ikionyesha bustani ya Barafu na Theluji ya mandhari ya Dunia huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang Kaskazini Mashariki mwa China. (Xinhua/Xie Jianfei)

Mji wa Harbin nchini China ni maarufu kwa rasilimali zake nyingi za barafu na theluji. Katika kipindi hiki cha majira ya baridi, mji huo umefungua bustani tatu zenye mandhari ya barafu na theluji, umetambulisha bidhaa 12 za uzoefu wa barafu na theluji na njia 10 za utalii kama hizo, na kuanzisha zaidi ya shughuli 100 zinazohusiana na kuhimiza maendeleo ya shughuli za utalii wa msimu wa baridi, utamaduni, mitindo na michezo. (Xinhua/Xie Jianfei)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha