Theluji iliyofunika Mlima Tianzi huko Zhangjiajie, Mkoa wa Hunan wa China yaleta mandhari ya kuvutia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 17, 2023
Theluji iliyofunika Mlima Tianzi huko Zhangjiajie, Mkoa wa Hunan wa China yaleta mandhari ya kuvutia
Picha hii iliyopigwa Januari 16, 2023 ikionyesha mandhari ya Mlima Tianzi uliofunikwa na theluji katika Mji wa Zhangjiajie katikati Mkoa wa Hunan, Katikati mwa China. (Xinhua/Zhao Zhongzhi)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha