Shughuli za kuonesha urithi wa utamaduni usioshikika ya Hohhot, Mongolia ya Ndani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 01, 2023
Shughuli za kuonesha urithi wa utamaduni usioshikika ya Hohhot, Mongolia ya Ndani

Tarehe 27, Januari Mwaka 2023, “ Shughuli za kuonesha urithi wa utamaduni usioshikika kwenye Mtaa mkongwe wa Saishang” za Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China na Sikukuu ya Taa za Kijadi zimeanzishwa katika Eneo la Yuquan, Hohhot, Mongolia ya Ndani. Watu walitembelea mtaani kutazama maonesho ya mila na desturi na michezo ya kijadi, na kula vyakula vitamu katika hali ya shamrashamra ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha