Habari Picha: Soko la Maua la Kunming Dounan, soko kubwa zaidi la biashara ya maua yaliyokatwa katika Asia (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 02, 2023
Habari Picha: Soko la Maua la Kunming Dounan, soko kubwa zaidi la biashara ya maua yaliyokatwa katika Asia
Wafanyakazi wakipakia maua kwenye Soko la Maua la Dounan la Kunming, Mkoa wa Yunnan, Kusini-Magharibi mwa China, Januari 31, 2023. (Xinhua/Chen Xinbo)

Likiwa soko kubwa zaidi la maua yaliyokatwakatwa nchini China kwa mujibu wa ripoti za mauzo na thamani ya mauzo ya nje, soko la Dounan huko Kunming limekuwa soko kubwa zaidi la biashara ya maua yaliyokatwakatwa barani Asia. (Xinhua/Chen Xinbo)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha