Kuingia kwenye “Ujio wa Picha za theluji na barafu” ya Mto Mudan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 06, 2023
Kuingia kwenye “Ujio wa Picha za theluji na barafu” ya Mto Mudan
Picha hii iliyopigwa Tarehe 5, Februari ikionesha mandhari ya “ Ujio wa Picha za barafu na theluji” (picha na droni).

Katika miaka ya hivi karibuni, kampuni ya Idara ya Misitu ya Daihailin ya Mji wa Mudan wa Mkoa wa Heilongjiang ikitegemea vivutio vya eneo la theluji , imepanua na kustawisha rasilimali za kipekee za theluji na barafu zilizoko kando za barabara ya Yaxue na imeufanya “Ujio wa Picha za barafu na theluji” kuwa eneo la vivutio la kutembelea na kucheza kwenye theluji.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha