Nanyuki, Kenya: Nyumbani kwa Wanyama pori Yatima

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 07, 2023
Nanyuki, Kenya: Nyumbani kwa Wanyama pori Yatima
Picha iliyopigwa terehe 4, Februari ikionesha duma kwenye sehemu ya Wanyama Yatima katika eneo la hifadhi ya wanyama pori ya Mlima Kenya, Nanyuki, Kenya.

Kwenye eneo la hifadhi ya wanyama pori ya Mlima Kenya huko Nanyuki, Kenya, sehemu hii ni nyumbani kwa wanyama pori ambao wameondoka kwenye makundi yao na kukosa uwezo mzuri wa kuishi kwa kujitegemea kwa sababu ya kujeruhiwa, kufanyiwa ukatili, au kutishiwa. (Xinhua/Han Xu)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha