Ndege kubwa ya C919 iliyoundwa na China yatua kwenye uwanja wa ndege wa Sanya kwa mara ya kwanza (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 09, 2023
Ndege kubwa ya C919 iliyoundwa na China yatua kwenye uwanja wa ndege wa Sanya kwa mara ya kwanza
Wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya uhakikisho wakifanya kazi husika baada ya ndege kubwa C919 iliyoundwa na China yenyewe kufika mahali palipopangwa. (Picha na Chen Zhenhuang)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha