Kikosi cha Waokoaji wa China chashiriki katika juhudi za kutoa misaada kwenye maeneo yaliyokumbwa na tetemeko la ardhi nchini Uturuki (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 09, 2023
Kikosi cha Waokoaji wa China chashiriki katika juhudi za kutoa misaada kwenye maeneo yaliyokumbwa na tetemeko la ardhi nchini Uturuki
Waokoaji wa Shirikisho la Waokoaji wa Kujitolea la Shenzhen wakijiandaa kuondoka katika Forodha ya Shenzhenwan huko Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Februari 8, 2023. (Xinhua/Mao Siqian)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha