Viwanda katika Eneo la Majaribio la Biashara Huria la Heihe (Heilongjiang) la China vyawa na pilika nyingi za uzalishaji (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 13, 2023
Viwanda katika Eneo la Majaribio la Biashara Huria la Heihe (Heilongjiang) la China vyawa na pilika nyingi za uzalishaji
Mfanyakazi akifanya kazi kwenye Kiwanda Maalum cha Kuunda Magari cha Heihe Liyuanda katika Eneo la Majaribio la Biashara Huria la Heihe (Heilongjiang) la China, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Februari 11, 2023. (Xinhua/Xie Jianfei)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha