Wauza maua waandaa waridi kabla ya Siku ya Wapendanao huko Vancouver, Canada (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2023
Wauza maua waandaa waridi kabla ya Siku ya Wapendanao huko Vancouver, Canada
Muuza maua akipamba shada la waridi kabla ya Siku ya Wapendanao kwenye duka la maua huko Vancouver, British Columbia, Canada, Februari 13, 2023. (Picha na Liang Sen/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha