Habari Picha: Watalii wakifurahia huduma ya picha za utalii kwenye maonyesho ya usiku katika Mji wa Jinghong, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2023
Habari Picha: Watalii wakifurahia huduma ya picha za utalii kwenye maonyesho ya usiku katika Mji wa Jinghong, China
Watalii wakipiga picha kwenye magulio ya usiku katika Mji wa Jinghong wa Eneo linalojiendesha la Kabila la Wadai ya Xishuangbanna, Mkoa wa Yunnan, Kusini-Magharibi mwa China, Februari 12, 2023. (Xinhua/Chen Xinbo)

Magulio ya usiku hapa yamevutia watalii wengi, ambao baadhi yao hufurahia huduma ya picha za utalii ambapo studio za picha hutoa mavazi ya kitamaduni na vipodozi kwa watalii ili kupigwa picha.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha