Ningbo yafanya shughuli mfululizo ili kuchangamsha maisha ya usiku ya wakazi na watalii (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 16, 2023
Ningbo yafanya shughuli mfululizo ili kuchangamsha maisha ya usiku ya wakazi na watalii
Watu wakinunua vitafunio kwenye gulio la usiku la Laowaitan, ambao ni mtaa maarufu wa watembea kwa miguu huko Ningbo, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Februari 15, 2023. (Xinhua/Jiang Han)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha