Habari Picha: Panda wakifurahia vilivyo kwenye kituo cha kuzaliana huko Sichuan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 17, 2023
Habari Picha: Panda wakifurahia vilivyo kwenye kituo cha kuzaliana huko Sichuan, China
Panda akila mianzi kwenye eneo la Dujiangyan la Kituo cha Uhifadhi na Utafiti wa Panda cha China huko Dujiangyan, Mkoa wa Sichuan, Kusini Magharibi mwa China, Februari 15, 2023. (Xinhua/Wang Xi)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha