

Lugha Nyingine
Darasa maalum katika Mji wa Hukou, Jiangxi lafanya masomo ya sayansi kuwa vitendo zaidi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 17, 2023
Picha iliyopigwa Tarehe 15, Februari, Mwaka 2023, ikionyesha wanafunzi wa darasa la nne wa Shule ya Msingi Wushan ya Wilaya ya Hukou katika Mji wa Jiujiang, Mkoa wa Jiangxi wa China wakijifunza na kuelewa teknolojia ya kulima bila udongo katika kibanda cha kilimo.
Kwa sasa, Wilaya ya Hukou inahimiza kwa nguvu "upunguzaji wa pande mbili”, yaaani kupunguza shinikizo la kazi za nyumbani na za nje ya shule kwa wanafunzi, ili kujenga msingi mahususi wa elimu ya sayansi. Kupitia aina mbalimbali za uzoefu wa kizamivu, inaweza kuongeza shauku ya masomo ya sayansi na kuhamasisha uwezo wa ubunifu, ili kuwawezesha wanafunzi wengi zaidi waweze kuelewa sayansi, kupenda sayansi, kukutumia sayansi katika maisha.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma