Ujenzi wa Mradi muhimu wa gridi ya taifa waharakishwa kufanyika Anhui, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 22, 2023
Ujenzi wa Mradi muhimu wa gridi ya taifa waharakishwa kufanyika Anhui, China

Wafanyakazi wa kampuni ya mradi wa kupeleka umeme na wa trasfoma ya Anhui wakifanya kazi kwenye eneo la ujenzi wa mradi wa kufunga nyaya kati ya Kituo cha kubadilisha nguvu ya umeme ya Kilowati 1,000 cha Wuhu na Kituo cha umeme wenye nguvu ya Kilowati 500 cha Tongbei, Tarehe 21, Februari.(Picha imepigwa kwa droni.)

Baada ya mapumziko ya sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China, ujenzi wa mradi muhimu wa gridi ya taifa huko Anhui, China umeharakishwa kufanyika. Wafanyakazi wa umeme wanafanya juhudi kwenye eneo la ujenzi, ili kuhakikisha mradi huo muhimu unapata maendeleo.(Picha imepigwa na Liu Junxi/Xinhua)

 

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha