Katika Picha: Matunda na mboga zaingia kwenye msimu wa mavuno katika Mkoa wa Hainan wa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 28, 2023
Katika Picha: Matunda na mboga zaingia kwenye msimu wa mavuno katika Mkoa wa Hainan wa China
Mkulima akiweka kwenye chombo pilipili za kijani zilizovunwa katika Kitongoji cha Poxin, Wilaya ya Tunchang, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Februari 24, 2023. (Xinhua/Pu Xiaoxu)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha