Uchoraji wa majira ya mchipuko kwenye shamba la maua ya Rape Hunan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 02, 2023
Uchoraji wa majira ya mchipuko kwenye shamba la maua ya Rape Hunan, China
Watoto wakichora picha kando ya shamba la maua ya Rape katika Kijiji cha Gaoma kilichoko Mtaa wa Tangdong wa Mji wa Zixing, Mkoa wa Hunan, China, Februari 28.

Majira ya mchipuko yamewadia, na maua mengi yamechanua. Mwalimu wa chekechea moja ya Mji wa Zixing, Mkoa wa Hunan aliwaongoza watoto kwenda nje na kuwafundisha kuchora picha za mandhari nzuri ya majira ya mchipuko na kuhisi pumzi ya majira ya mchipuko. (Picha na Li Ke/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha