

Lugha Nyingine
Mandhari ya Uwanja wa Tian’anmen huko Beijing muda mfupi kabla ya “Mikutano Mikuu Miwili” kuwadia
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 03, 2023
Mikutano Mikuu Miwili ya China, yaani mkutano wa Bunge la Umma la China (NPC) na Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) inawadia. Huko Beijing, bendera za Taifa la China zilizopo kwenye Uwanja wa Tian’anmen, eneo ambalo mikutano hiyo muhimu itafanyika zimekuwa zikipepea na watalii kumiminika kwa wingi kuzitazama, Tarehe 2, Machi. (Picha na Weng Qiyu)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma