Shughuli ya Kwanza ya Mahojiano Kati ya Waandishi wa Habari na Wajumbe wa Bunge la Umma la 14 la China yafanyika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 05, 2023
Shughuli ya Kwanza ya Mahojiano  Kati ya Waandishi wa Habari na Wajumbe wa Bunge la Umma la 14 la China yafanyika

Tarehe 5, Machi, Mkutano wa kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China umefanya shughuli ya kwanza ya mahojiano kati ya waandishi wa habari na wajumbe hapa Beijing.

(Picha na Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha