

Lugha Nyingine
Kutafuta miamba hatari ili kuhakikisha usalama Enshi,Hubei (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 08, 2023
Tarehe 5, Machi, 2023, wafanyakazi kadhaa walitumia vyombo vya kitaalamu kwa kukwea miamba ili kutafuta miamba yenye hatari kwenye eneo la vivutio la Qixingzhai katika Bonde la Enshi, Mkoa wa Hubei. Hivi sasa ni msimu wa kufaa zaidi kwa shughuli za utalii. Ili kuhakikisha usalama wa watalii, eneo la vivutio la bonde la Enshi limepanga wataalamu kufanya uchunguzi na kutafuta miamba yenye hatari na kufanya kazi ya kuondoa hatari katika eneo hilo la vivutio ili kuhakikisha uendeshaji salama wa shughuli za eneo hilo. (Picha na Zhang Yuanming)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma