Ufungaji wa Mkutano wa kwanza wa Baraza la 14 la Mashauriano ya Kisiasa la China wafanyika (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 11, 2023
Ufungaji wa Mkutano wa kwanza wa Baraza la 14 la Mashauriano ya Kisiasa la China wafanyika
(Picha inatoka Shirika la Habari la China Xinhua.)

Ufungaji wa mkutano wa kwanza wa Baraza la 14 la Mashauriano ya Kisiasa la China umefanyika saa 9 mchana tarehe 11, Machi kwenye Jumba la Mikutano ya Umma hapa Beijing, China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha