China yarusha setilaiti mpya ya kuhisi kwa mbali (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 14, 2023
China yarusha setilaiti mpya ya kuhisi kwa mbali
Setilaiti mpya ya kuhisi kwa mbali ikirushwa kwa roketi ya kubeba ya Long March-2C kutoka Kituo cha Urushaji Satelaiti cha Jiuquan Kaskazini-Magharibi mwa China, Machi 13, 2023. (Picha na Wang Jiangbo/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha