Pilikapilika za usafirishaji kwenye Bandari ya Taicang ya Jiangsu, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 15, 2023
Pilikapilika za usafirishaji kwenye Bandari ya Taicang ya Jiangsu, China
Picha iliyopigwa kwa droni tarehe 13, Machi ikionesha gati la Bandari ya Taicang ya Jiangsu, China.

Tangu majira ya mchipuko yalipoanza, Bandari ya Taicang ya Mkoa wa Jiangsu wa China imehakikisha kwa nguvu zote kupitika kwa njia ya usafirishaji, na kuongeza ufanisi wa usafirishaji mizigo, ambapo kazi ya kupakia na kupakua mizigo inaendelea kwa utaratibu kwenye maeneo yote ya bandari hiyo. Kutoka mwezi Januari hadi Februari, 2023, Bandari ya Taicang ilikuwa imemaliza kazi ya kuingiza na kutoa makontena sanifu ya biashara na nje laki 7.75, huku ikimaliza kazi ya kuingiza na kutoa bidhaa za biashara na nje milioni 17.634. (Picha ilipigwa na mwandishi wa habari wa Xinhua/Li Bo)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha