Ngalawa “zaruka hewani” Hubei, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 15, 2023
Ngalawa “zaruka hewani” Hubei, China
Watalii wakipanda ngalawa kutembelea kwenye eneo la kivutio cha utalii la Mlima Ping katika Kijiji cha Pingshan tarehe 14, Machi.

Kutokana na maji safi ya mto kwenye eneo la kivutio la Mlima Ping wa Kijiji cha Pingshan, Wilaya ya Hefeng ya Mkoa wa Hubei wa China, ngalawa zilizopo kwenye mto huo zinaonekana kama kuelea hewani. Mandhari hiyo ni nzuri sana kama picha ya kuchorwa. (Picha ilipigwa na Yang Shunpi, na kutolewa na Shirika la Habari la China Xinhua.)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha