Ujuzi bunifu wa kutengeneza chai na njia za kunywa chai vyawa maarufu katika Mkoa wa Anhui, Mashariki ma China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 16, 2023
Ujuzi bunifu wa kutengeneza chai na njia za kunywa chai vyawa maarufu katika Mkoa wa Anhui, Mashariki ma China
Wateja wakinywa chai kwenye mgahawa wa chai katika Mji wa Huangshan, Mkoa wa Anhui nchini China, Tarehe 9 Machi 2023. (Xinhua/Du Yu)

Mji wa Huangshan ni chimbuko la chai kadhaa maarufu za China na una historia ndefu ya kunywa chai. Siku hizi, ujuzi ubunifu wa kutengeneza chai na njia mbadala za kunywa chai zimekuwa maarufu miongoni mwa watumiaji wenyeji. Mwenendo huu wa soko unaongeza kasi mpya katika tasnia ya chai ya wenyeji. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha