Maua ya Cherry yachanua na kuvutia watalii wengi Nanjing, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 17, 2023
Maua ya Cherry yachanua na kuvutia watalii wengi Nanjing, China

Watalii wakitembelea na kujiburudisha na maua ya Cherry kwenye Chuo Kikuu cha Misitu cha Nanjing, katika Mkoa wa Jiangsu wa China, Tarehe 15, Machi.

Siku za hivi karibuni, maua ya Cherry yamechanua huko Nanjing katika Mkoa wa Jiangsu wa China na kuvutia watalii wengi. (Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha