Kilimo cha kisasa chaendelea katika Wilaya ya Bohu, Kaskazini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 22, 2023
Kilimo cha kisasa chaendelea katika Wilaya ya Bohu, Kaskazini Magharibi mwa China
Mfanyakazi akiendesha mfumo jumuishi wa umwagiliaji na urutubishaji ardhi kwa mbolea kupitia simu ya mkononi katika eneo la vielelezo vya kilimo cha kisasa katika Wilaya ya Bohu, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China, Machi 20, 2023. (Xinhua/Ding Lei)

Katika miaka ya hivi karibuni Wilaya ya Bohu imetoa kipaumbele cha juu kwa maendeleo ya kilimo cha kisasa. Teknolojia za hali ya juu zimeongeza kasi mpya katika ustawishaji na maendeleo ya kilimo vijijini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha