Maonyesho ya kina kwenye shamba la maua ya Rape Zhejiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 27, 2023
Maonyesho ya kina kwenye shamba la maua ya Rape Zhejiang, China
Wasanii wakifanya maoenesho ya mchezo wa Sanaa kwenye shamba la maua ya Rape, katika kijiji cha Meirong, Mkoani Zhejiang, Tarehe 26, Machi.

Tarehe 26, Machi, katika wakati wa tamasha la maonesho ya michezo ya Sanaa ya kuonesha Mandhari nzuri ya Milima na Mito ya Wilaya ya Tonglu wa 2023, maonyesho ya mchezo wa Sanaa unaoitwa "Katika Siku za maua ya Rape kuchanua Mlimani Fuchun" yalionyeshwa katika kijiji cha Meirong cha wilaya ya Tonglu, Mkoani Zhejiang. Maonyesho hayo yalivutia watalii wengi kuyatazama. (Picha na Xinhua/Huang Zongzhi)

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha