Mkoa wa Guizhou China waweka mkazo katika kilimo cha spishi za maua ya alpine ili kuimarisha ustawishaji wa vijiji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 30, 2023
Mkoa wa Guizhou China waweka mkazo katika kilimo cha spishi za maua ya alpine ili kuimarisha ustawishaji wa vijiji
Wakulima wakihamisha maua kwenye kituo cha kilimo cha maua katika eneo la mambo ya utawala la Bailidujuan huko Bijie, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Machi 28, 2023.(Xinhua/Yang Wenbin)

Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la mambo ya utawala la Bailidujuan la Bijie limeanzisha bustani mahiri za kulima spishi za maua ya alpine kama vile azalea, kwa lengo la kuendeleza shughuli za utalii vijijini na kuongeza kipato cha wakulima wenyeji. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha