

Lugha Nyingine
Daraja Kubwa la Jinfeng la Mto Wu nchini China laingia kwenye kazi ya kutandaza lami
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 06, 2023
![]() |
Picha hii inaonesha daraja kubwa la Jinfeng la Mto Wu nchini China likikiwa katika ujenzi (picha imepigwa na droni Tarehe 3, Aprili). |
Siku za hivi karibuni, daraja kubwa la Jinfeng la Mto Wu kwenye Barabara ya mwendo kasi ya Guiyang-Jinsha-Gulin nchini China limeingia kikamilifu kwenye kipindi cha kazi ya kutandaza lami. Daraja hilo ni mradi muhimu wa kidhibiti lenye urefu wa mita 1473.5. (Picha na Tao Liang/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma