Xi Jinping afanya ukaguzi huko Maoming, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 13, 2023
Xi Jinping afanya ukaguzi huko Maoming, China
Picha inatoka Shirika la Habari la China Xinhua.

Tarehe 11, Rais Xi Jinping wa China alikagua mashamba ya Litchi na Ushirika wa Kitaalam wa Longan na Litchi wa Kijiji cha Boqiao katika Mji wa Maoming mkoani Guangdong, China. Alifahamishwa juhudi za kijiji hicho za kustawisha upandaji wa litchi na matunda mengine yenye umaalum ya huko, na hali yake ya kusukuma mbele ustawishaji wa kijiji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha